LONDON, ENGLAND: BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amempa onyo Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta na vijana wake ikiwa wataendelea kushangilia ... uzuri wa Martin Odegaard na Declan Rice ...
Mchezo huo ulimalizika kwa Arsenal kupata bao la ushindi dakika ya 64 kupitia kwa beki wa kati, GabrieI Magalhà es mara baada ya kumalizia vyema kwa kichwa mpira wa kona kutoka kwa Bukayo Saka.
Naibu mkufunzi wa klabu ya Manchester City Mikel Arteta ni miongoni mwa wakufunzi wanaopigiwa upatu kumrithi mkufunzi wa Arsenal anayeondoka Arsene Wenger. Raia huyo wa UHispania ambaye aliichezea ...
Kiungo wa kati wa Nigeria John Obi Mikel amekuwa mchezaji wa karibuni zaidi kuondoka Chelsea na kuhamia Ligi Kuu ya China. Mikel ametangaza kwenye Twitter kwamba atajiunga na klabu ya Tianjin TEDA.