uzuri wa Martin Odegaard na Declan Rice wala ubora wa David Raya kwenye lango na mikimbio ya Bukayo Saka kwenye safu ya ushambuliaji,” alisema Neville. “Hawatotengenezewa filamu za Netflix, historia ...
Mchezo huo ulimalizika kwa Arsenal kupata bao la ushindi dakika ya 64 kupitia kwa beki wa kati, GabrieI Magalhà es mara baada ya kumalizia vyema kwa kichwa mpira wa kona kutoka kwa Bukayo Saka.